
01. KUSHIRIKISHA KILA
KITU. Haijalishi unawaamini watu kiasi gani lakini acha kushirikisha
kila kitu marafiki, ndugu, jamaa na wale unaowaona ni sahihi kwako maana
hawapaswi kujua kila kitu chako .
02.KUOGOPA KUKATALIWA.. Hupaswi
kuogopa kukataliwa na mtu yoyote kwani mafanikio yapo mikononi mwako
mwenyewe. Pambana Kwa namna yoyote kufikia ndoto zako bila kuogopa
kukataliwa.
03. KUPUUZA AFYA YAKO. Hutakiwi kabisa kupuuza afya yako na
ni muhimu zaidi kuzingatia Lishe, kupumnzika na kuepuka mawazo ya mara
Kwa mara ili kuhakikisha unakuwa Sawa Kwa asilimia Mia moja.
04. KUFANYA
WANACHOFANYA. Acha kufanya kila wanachofanya wenzako, Fanya unachopenda
Ila usiige kila kinachofanyika Kwa wenzako .
05. KULAUMU WAZAZI WAKO.
Acha kulaumu wazazi wako Kwa kila kinachokutokea kwenye maisha yako na
kuona wamesababisha wao. Jitambue na jipambanie mwenyewe.
06. KUSUBIRI
MUDA UFIKE. Anza kufanya leo, acha kukaa ukisubiri muda sahihi
Chapisha Maoni