MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO.

 How to tell when stress is a problem | CNN

01. KUSHIRIKISHA KILA KITU. Haijalishi unawaamini watu kiasi gani lakini acha kushirikisha kila kitu marafiki, ndugu, jamaa na wale unaowaona ni sahihi kwako maana hawapaswi kujua kila kitu chako .

02.KUOGOPA KUKATALIWA.. Hupaswi kuogopa kukataliwa na mtu yoyote kwani mafanikio yapo mikononi mwako mwenyewe. Pambana Kwa namna yoyote kufikia ndoto zako bila kuogopa kukataliwa. 

03. KUPUUZA AFYA YAKO. Hutakiwi kabisa kupuuza afya yako na ni muhimu zaidi kuzingatia Lishe, kupumnzika na kuepuka mawazo ya mara Kwa mara ili kuhakikisha unakuwa Sawa Kwa asilimia Mia moja. 

04. KUFANYA WANACHOFANYA. Acha kufanya kila wanachofanya wenzako, Fanya unachopenda Ila usiige kila kinachofanyika Kwa wenzako . 

05. KULAUMU WAZAZI WAKO. Acha kulaumu wazazi wako Kwa kila kinachokutokea kwenye maisha yako na kuona wamesababisha wao. Jitambue na jipambanie mwenyewe. 

06. KUSUBIRI MUDA UFIKE. Anza kufanya leo, acha kukaa ukisubiri muda sahihi

0/Post a Comment/Comments